Monday, 9 July 2018

 
Mpambano mkali zidi ya Kabungu FC na Mchakamchaka FC,  Kabungu FC ilifanikiwa kuibuka kidedea kwa kuicharaza Mchakamchaka FC kw mikwaju ya penati 5-4 baada ya kutoka droo ya 2-2 uwanjani.
 

No comments:

Post a Comment