Hamashauri ya Wilaya ya Tanganyika ni moja kati sehemu ya Aridhi Mkoa wa Katavi iliyobarikiwa na mambo mengi kama Kilimo,Ufugaji,Uvuvi,Utalii na Ufugaji wa Nyuki (kwa asali ya Nyuki wadogo na wakubwa)
Thursday, 21 October 2021
KAZI INAENDELEA WILAYA YA TANGANYIKA MKOANI KATAVI
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh. Onesmo Buswelu akiwa kwenye ukaguzi wa maeneo yaliyopewa fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matano leo tarehe 20-10-20 katika kata ya Kabungu kijiji cha kasinde Kitongoji cha katonyaga.
No comments:
Post a Comment