Hamashauri ya Wilaya ya Tanganyika ni moja kati sehemu ya Aridhi Mkoa wa Katavi iliyobarikiwa na mambo mengi kama Kilimo,Ufugaji,Uvuvi,Utalii na Ufugaji wa Nyuki (kwa asali ya Nyuki wadogo na wakubwa)
Tuesday, 19 September 2017
GAZETI LA MPANDA LEO
HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA IMETOA TOLEO JIPYA LA GAZETI LA MPANDA LEO GAZETI LA MPANDA LEO LITAKUWA LANAPATIKANA KATIKA OFISI ZA KATA NA VIJIJI VYOTE VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA. TUNAWAKARIBISHA WADAU WOTE.
No comments:
Post a Comment