Wednesday, 28 August 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea maonyesho ya Kilimo Nanenane 2019 Mjini Mbeya
Viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpamda
wakishangilia kombe la ushindi wa maonesho ya NANENANE 2019. Mpanda DC
imeibuka mshindi wa kwanza kati ya Halmashauri 40 za Nyanda za juu
Kusini mwa Tanzania. Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mhe.
Salehe Mhando, Mhe. Hamad Mapengo(Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya),
Leonard Nyanza (CC), Bw. Romuli Rojas John (Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya wilaya ya Mpanda na Mhe. Theodora Kisesa (Makamu
mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda).
Subscribe to:
Posts (Atom)