Wednesday 28 August 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea maonyesho ya Kilimo Nanenane 2019 Mjini Mbeya

 

Viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpamda wakishangilia kombe la ushindi wa maonesho ya NANENANE 2019. Mpanda DC imeibuka mshindi wa kwanza kati ya Halmashauri 40 za Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania. Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Mhando, Mhe. Hamad Mapengo(Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya), Leonard Nyanza (CC), Bw. Romuli Rojas John (Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda na Mhe. Theodora Kisesa (Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda).

No comments:

Post a Comment