Hamashauri ya Wilaya ya Tanganyika ni moja kati sehemu ya Aridhi Mkoa wa Katavi iliyobarikiwa na mambo mengi kama Kilimo,Ufugaji,Uvuvi,Utalii na Ufugaji wa Nyuki (kwa asali ya Nyuki wadogo na wakubwa)
Friday, 1 June 2018
Madiwani wakifurahia jambo la maendeleo katika kikao cha baraza maalum
Madiwani wakifurahia jambo la maendeleo katika kikao cha baraza maalum. Baraza hilo limefanyika Mei 29, 2018 na lilifadhiliwa na taasisi ya Jane Goodall (JGI)
No comments:
Post a Comment