Wednesday 11 July 2018

Mkurugenziwa Mpanda DC akisalimiana na waziri wa Maliasili na utalii



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda akisalimiana na waziri wa Maliasili na utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangala. Dkt. Kigwangala amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda Julai 09, 2018.



No comments:

Post a Comment