Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda (Tanganyika) Mhe. Hamadi Mapengo akitoa vyeti kwa mkuu wa gereza la Kalilankulu pia alitoa vyeti vya shukrani kwa tasisi mbalimbali na mashirika yaliyochangia na kujitolea kwa hali na mali katika maandalizi ya kuukaribisha Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Mpanda (Tanganyika) yote haya yalifanyika siku ya sikuku na maadhimisho ya Sabsaba 07-07-2018
Monday, 9 July 2018
HALMASHAURI YA WILAYA YA MPANDA (TANGANYIKA) YAITENDEA HAKI MAADHIMISHO NA SIKUKUU YA SABASABA TAREHE 07-07-2018
Mhe. Hamadi Mapengo Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda
akimkabizi Ngao na kiasi cha shilingi laki moja nahoza wa timu ya
Kabungu FC kama zawadi ya mshindi wa kwanza na mkuu wa wilaya ya
Mpanda Mhe. Salehe Mhando na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Romuli R. John.

Sikukuu na maadhimisho ya Sabasaba katika Halmashuri ya Wilaya ya Mpanda
(Tanganyika) imekuwa ya mafanikio makubwa kwa wafanyabiashara kwani
wameweza kuongea na kutoa maoni yao juu ya maswala ya kibishaka katika
Wilaya ya Mpanda (Tanganyika), baada ya kuongea na mkuu wa wilaya
Mhe.Salehe Mhando akiwa amejumuika na Mhe. Hamadi Mapengo Mwnyekiti wa
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Romuli R.
John

Saturday, 7 July 2018
Friday, 6 July 2018
Friday, 1 June 2018
Viongozi Wakuu wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wakiteta jambo kabla ya kuanza kikao cha baraza maalum
Viongozi Wakuu wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wakiteta jambo kabla ya kuanza kikao cha baraza maalum. Baraza hilo limefanyika Mei 29, 2018 katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa halmashauri mhe. Hamadi Mapengo, Mkurugenzi Mtendaji Romuli John, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Mhando, mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanganyika mhe. Yassin Kibiriti na makamu mwenyekiti mhe. Theodora Kisesa.
Subscribe to:
Posts (Atom)





